Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
School
20 words
Word Image
School
20 words
bweni
(n)
dormitory
chumba katika bweni
dormitory room
likizo
(n)
holiday
mapambo ya likizo
holiday decorations
darasa
(n)
class
darasa la biolojia
biology class
shule ya msingi
(n)
elementary school
wanafunzi wa shule ya msingi
elementary school students
shule ya kati
(n)
middle school
Ndugu yangu wa miaka kumi na mbili huenda katika shule ya kati.
My twelve-year-old brother goes to middle school.
shule ya secondari
(n)
high school
wanafunzi wa secondari
high school students
chuo kikuu
(n)
university
Alipata skolaship nzima kutoka kwa chuo kikuu maarufu.
He received a full scholarship from a famous university.
chuo cha ustadi
(n)
college
Niliishi kwenye bweni kwa miaka yote nne nilipokuwa katika chuo cha ustadi.
I lived in the dormitory for all four years of college.
mwanafunzi
(n)
student
Yeye ni mwanafunzi wa chuo kikuu.
She is a university student.
mwalimu
(n)
teacher
mwalimu darasani
teacher in a classroom
karo ya shule
(p)
tuition fee
Karo katika shule ya ustadi ni ghali.
College tuition is expensive.
maktaba
(n)
library
Nasoma katika maktaba.
I am studying at the library.
ukumbi wa mazoezi
(p)
gym
ukumbi wa mazoezi wa shule
school gym
mwaka wa masomo
(p)
school year
Mwaka wa shule unadumu kwa miezi tisa ya mwaka.
The school year lasts for nine months of the year.
likizo
(n)
school holiday
Likizo la msimu wa kati ndilo likizo ya shule niupendao
Spring break is my favorite school holiday.
likizo
(n)
vacation
Itanipasa nitafute kazi wakati wa likizo la kiangazi.
It is necessary to find a job during my summer vacation.
likizo ya kiangazi
(p)
summer vacation
Ninasafiri ng'ambo wakati wa likizo la kiangazi.
I'm going on a trip abroad during summer vacation.
shule ya musimu wa kiangazi
(p)
summer school
Nabidi nipite katika madarasa yangu yote iliniende katika shule la kiangazi.
I need to pass all my classes, so I don't have to go to summer school.
mtihani wa mwisho wa muhula
(p)
final
pita mitihani wa mwisho wa muhula
pass your finals
idara
(n)
department
0 Comments
Top