Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Shopping
24 words
Word Image
Shopping
24 words
kutaka
(v)
want
Wafanyikazi wa ofisi walitaka ndazi hili.
The office workers wanted the doughnut.
kadi ya kredit
(n)
credit card
nunua kwa kadi ya krediti
buy with a credit card
risiti
(n)
receipt
Sihitaji risiti.
I don't need a receipt.
zawadi
(n)
present
Na hii ni zawadi ya sikukuu yako ya kuzaliwa.
And this is your birthday present.
kurejesha
(v)
return
rejesha viatu
return the shoes
mteja
(n)
customer
mteja anayelipa
paying customer
kununua
(v)
buy
Wachumba hawa hununua nguo.
The couple buys clothes.
bei
(n)
cost
gharama ya kufikisha
delivery cost
bei rahisi
(a)
cheap
Saa ya kiwiko cha mkono si bei rahisi.
The wrist watch is not cheap.
ghali
(a)
expensive
nyumba ghali
expensive house
punguzo
(n)
discount
kipunguzi kubwa
big discount
lilamu
(n)
sale
tafuta lilamu
look for a sale
muuzaji
(n)
salesperson
muulize muuzaji
ask the salesperson
taslimu
(n)
cash
tita la pesa
stacks of cash
kutumia pesa
(p)
spend money
kutumia pesa nyingi
spend too much money
duka la nguo
(n)
clothing store
Nilinunua shati mpya katika duka la nguo
I bought a new shirt at the clothing store.
duka kubwa
(n)
department store
kununua katika duka kubwa
shopping at a department store
duka la mavazi
(n)
boutique
duka la mavazi
dress boutique
duka la viatu
(n)
shoe store
duka la viatu vya wanawake
women's shoe store
duka la mapambo
(n)
jewelry store
Tulinunua pete zetu za harusi katika duka la mapambo.
We bought our wedding rings at the jewelry store.
duka la jumla
(n)
mall
Duka la jumla limejaa watu.
The mall is full of people.
supamaketi
(n)
supermarket
Ulinunua nini katika supamaketi?
What did you buy at the supermarket?
sampuli
(n)
sample
sampuli ya kitambaa
sample swatch
kodi
(v)
rent
Kodi nyumba
rent a house
0 Comments
Top