Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Shopping Downtown: Shops Around the City
25 words
Word Image
Shopping Downtown: Shops Around the City
25 words
duka la jumla
(n)
mall
Duka la jumla limejaa watu.
The mall is full of people.
supamaketi
(n)
supermarket
Ulinunua nini katika supamaketi?
What did you buy at the supermarket?
ajenti wa usafiri
(p)
travel agency
ajenti wa usafiri katika kampuni ya usafiri
travel agent at a travel agency
benki
(n)
bank
benki nzee
old bank
mgahawa
(n)
restaurant
mgahawa unaojulikana
famous restaurant
duka
(n)
convenience store
Duka lenyewe linafunguliwa siku nzima.
The convenience store is open 24 hours.
chumba cha kuoka mikate
(p)
bakery
Je, kunacho chumba cha kuoka hapa karibu?
Is there a bakery around here?
soko
(n)
market
Sisi hununua matunda na mboga kwenye soko la kienyeji.
We buy our fruits and vegetables at the local market.
kinyozi
(n)
barbershop
kikahawia
(n)
coffee shop
Kutana katika kikahawia.
meet at a coffee shop
dobi
(n)
dry cleaner
duka la vitabu
(p)
bookstore
muuzaji maua
(n)
florist
Mchinjaji
(n)
butcher
duka la dawa
(n)
drugstore
dukani la mboga
(n)
grocery store
duka la pombe
(n)
liquor shop
Duka la chakula cha kigeni
(n)
delicatessen
kioski
(n)
kiosk
Daktari wa macho
(n)
optician
mkahawa wa keki wa kifaransa
(n)
patisserie
Duka
(n)
shop
kukodisha gari
(n)
car rental
meza la gazeti
(n)
magazine stand
Duka la Peremende
(n)
candy shop
0 Comments
Top