Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
St. Patrick's Day
19 words
Word Image
St. Patrick's Day
19 words
pesa
(n)
money
Pesa hutumika kulipa bidhaa na huduma.
Money is used as payment for goods and services.
kijani
(a)
green
Kimulimuli yuko kwenye kijani kibichi.
The firefly is on the green leaf.
likizo
(n)
holiday
mapambo ya likizo
holiday decorations
pombe
(n)
beer
Hadimu anamwaga pombe chachu.
The bartender is pouring a draft beer.
viazi
(n)
potato
Viazi ni asili muhimu ya chakula cha nguvu kwa watu wengi.
Potatoes are an important source of food energy for many.
kukatika
(v)
dance
katika kwenye jukwaa
dance on a platform
upinde wa mvua
(p)
rainbow
mandhari ya upinde wa mvua
scenic rainbow
Machi
(n)
March
Machi ndipo mnapoanza msimu wa chipukizi katika sehemu ya Kaskazini mwa dunia na msimu wa pukutisha katika sehemu ya Kusini
March marks the start of Spring in the northen hemisphere and fall in the southern hemisphere.
dhahabu
(n)
gold
Ayalandi
(n)
Ireland
ua la majani nne
(p)
four-leaf clover
Mtakatifu Patrick
(n)
Saint Patrick
chungu cha dhahabu
(p)
pot of gold
chuna
(n)
pinch
bahati
(n)
lucky
leprukon
(n)
leprechaun
bahati
(n)
luck
Mwayalandi
(n)
Irish
Sikukuu ya mtakatifu Patrick
(n)
Saint Patrick's Day
0 Comments
Top