Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Talking About Colors in Swahili
20 words
Word Image
Talking About Colors in Swahili
20 words
nyepesi
(a)
light
Rangi nyepesi zinakufananisha vizuri sana.
Light colors really suit you well.
nyeusi
(a)
black
kunguru mweusi
black crow
hudhurungi
(a)
brown
rangi hudhurungi
color brown
kijivu
(a)
gray
Alikuwa amevaa nguo za rangi nzito ya jivu pekee.
He was wearing entirely dark gray clothes.
nyeupe
(a)
white
Raba zenyewe ni nyekundu, nyeupe na jivu vikiwa na vitani nyeupe na soli nyeusi.
The sneakers are red, white, and gray with white laces and black soles.
dhahabu
(p)
gold
kalamu ya rangi nyeupe na ya dhahabu
black and gold ballpoint pen
zambarau
(a)
purple
Jiwe la amethisti ni rangi zambarau.
The amethyst stone is light purple.
nyekundu
(a)
red
waridi mwekundu wenye shina ndefu
long stem red rose
kijani
(a)
green
Kimulimuli yuko kwenye kijani kibichi.
The firefly is on the green leaf.
bluu
(n)
blue
rangi ya bluu
color blue
manjano
(a)
yellow
Seremala amevaa mrembe wa manjano.
The carpenter is wearing a yellow helmet.
waridi
(a)
pink
rangi ya waridi
color pink
fedha
(a)
silver
Kalamu ya rangi fedha huonekana ghali.
The silver colored pen looks expensive.
mchanga
(a)
beige
Rangi ya mchanga ni rangi inayofana na krimu ikiwamo na madodoa madogo ya njano.
Beige is a pale cream color with a yellowish tint.
chungwa
(a)
orange
Rangi analolipenda sana ni chungwa.
His favorite color is orange.
rangi
(n)
color
Rangi unayopenda zaidi ni ipi?
What's your favorite color?
fyulisi
(a)
peach
Gari lenyewe ni rangi fyulisi.
The car is a peach color.
bluu ya kati
(a)
indigo
Nili inapata jina lake kutoka kwa mmea unaoitwa mnili.
Indigo gets its name from the plant named indigo.
giza
(a)
dark
Gari lenyewe hakika ni kijani nzito.
The car is actually dark green.
mwangavu
(a)
bright
Jua ni angavu.
The sun is bright.
0 Comments
Top