Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Talking About Your Plans
15 words
Word Image
Talking About Your Plans
15 words
Unafanya nini wikendi hii.
(e)
What are you doing this weekend?
Ninasafiri mwishoni wikendi hii.
(s)
I am traveling this weekend.
Ninapanga kukaa nyumbani.
(s)
I am planning to stay at home.
Wiki hii nina shughuli mingi.
(s)
This week I am busy.
Mimi ni huru kesho.
(s)
I am free tomorrow.
Je! tunaweza airisha hii
(s)
Can we reschedule this?
Nitakuwa na muda wa kutosha mwishoni mwa mwezi.
(s)
I will have enough time at the end of the month.
Ni wakati gani bora unaokufaa?
(s)
When is the best time that suits you?
Mimi hupatikana kila jioni.
(s)
I am available every evening.
Ninahitaji kupanga hii vizuri na mapema.
(s)
I need to plan this well in advance.
Je, tarehe hii ni sawa na wewe?
(s)
Is this date OK with you?
Je, unapatikana siku hiyo?
(s)
Are you available on that day?
Je, tunaweza kufanya hivyo haraka iwezekanavyo?
(s)
Can we do it as soon as possible?
Tunahitaji kupata tarehe nyingine
(s)
We need to find another date.
Siwezi kufanya hivyo siku hiyo.
(s)
I cannot do it on that day.
0 Comments
Top