Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Top 10 Inspirational Quotes
10 words
Word Image
Top 10 Inspirational Quotes
10 words
Haijalishi mwendo wako wa polepole ilhali tu usisimame.
(s)
It does not matter how slowly you go as long as you do not stop.
Hakuna njia panya ya kwenda mahali pa thamani.
(s)
There are no short cuts to any place worth going.
Kuwa geuzo unalotaka kuona duniani.
(s)
Be the change you want to see in the world.
Kila wakati ukumbuke kuwa azimio lako la kufaulu ni muhimu kushinda zingine zote.
(s)
Always bear in mind that your own resolution to succeed is more important than any other.
Unakosa asilimia mia moja ya mashindano usiyofanya.
(s)
You miss 100% of the shots you don't take.
Hatari kubwa kwa wengi wetu sio kuwa lengo letu ni ya juu sana na hatuwezi kulifikia mbali ni la chini sana na tunalifikia.
(s)
The greatest danger for most of us is not that our aim is too high and we miss it, but that is it too low and we reach it.
Wakati uliokuwa mzuri wa kupanda mti ulikuwa miaka ishirini iliyopita. Wakati nzuri wa pili ni sasa.
(s)
The best time to plant a tree was 20 years ago. The second best time is now.
Hauwezi kuvuka ziwa hadi uwe na ujasiri wa kutouona urefu wa pwani.
(s)
You can never cross the ocean until you have the courage to lose sight of the shore.
Chochote akili ya binadamu kinaweza kuchukua na kuamini, inaweza faulu kulipata.
(s)
Whatever the mind of man can conceive and believe, it can achieve.
Furaha sio kitu kilochoundwa tayari. Inakuja kutoka kwa matendo yako.
(s)
Happiness is not something readymade. It comes from your own actions.
0 Comments
Top