Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Top 10 Language Learning Strategies
10 words
Word Image
Top 10 Language Learning Strategies
10 words
Sikiliza na usome pamoja ili uelewe Swahili vizuri zaidi.
(s)
Listen and read along to understand Swahili better.
Rekodi sauti yako na ulinganishe matamshi yako na wasemaji halisi wa Swahili.
(s)
Record your voice and compare your pronunciation with native Swahili speakers.
Daonilodi kutoka kwa mtandao faili za mazungumzo na usikilize mazungumzo hayo ya Kiswahili.
(s)
Download dialog tracks and listen to the Swahili conversations.
Rudia maneno unayoyasikia kwa sauti tena na tena.
(s)
Repeat the phrases that you hear out loud again and again.
Pitia masomo ya hapo awali na ushike kabisa
(s)
Review old lessons to master them completely.
Boresha ujuzi wa usikilizaji kwa kupitia kila mstari wa mazungumzo huku ukitumia chombo cha mstari kwa mstari.
(s)
Improve your listening skills by reviewing each line of the conversation with the Line-by-Line Audio tool.
Pata motisha kwa kufuatilia maendeleo ya masomo yako ukitumia dashibodi
(s)
Stay motivated by tracking your learning progress with the Dashboard.
Soma mistari pole pole kwanza. Kisha rudia kusoma na uongeze mwendo.
(s)
Read lines slowly at first. Then re-read and increase your speed.
Weka malengo mandogo na yakupimika yaliyona wakati wa mwisho wa kuyatimiza.
(s)
Set small and measurable learning goals with a deadline.
Jaribu masomo magumu na ujipee changa moto ili uwe bora haraka.
(s)
Try harder lessons to challenge yourself and improve faster.
0 Comments
Top