Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Top 11 Quotes about Success
11 words
Word Image
Top 11 Quotes about Success
11 words
Mafanikio sio mwisho, kushindwa si mbaya: ni ujasiri wa kuendelea ndio muhimu.
(s)
Success is not final, failure is not fatal: it is the courage to continue that counts.
Kuja pamoja ni mwanzo, kukuwa pamoja ni maendeleo; kufanya kazi pamoja ni mafanikio.
(s)
Coming together is a beginning; keeping together is progress; working together is success.
Daima uwe wewe, jieleze, jiamini, usiende nje kutafuta mtu aliyefanikiwa na kutaka kumuiga.
(s)
Always be yourself, express yourself, have faith in yourself. Do not go out and look for a successful personality and duplicate it.
Uvumilivu, pambano na bidii ndizo zinazochangia sana kwa mafanikio.
(s)
Patience, persistence and perspiration make an unbeatable combination for success.
Kufanikiwa maishani, unahitaji vitu viwili: ujinga na ujasiri.
(s)
To succeed in life, you need two things: ignorance and confidence.
Lengo lako lisiwe kwa mafanikio ikiwa unaitaka; fanya kile unachopenda na kuamini, na itakuja kivyake.
(s)
Don't aim for success if you want it; just do what you love and believe in, and it will come naturally.
Nimeshindwa tena na tena na tena maishani mwangu ndiposa nafanikiwa.
(s)
I've failed over and over and over again in my life and that is why I succeed.
Sipimi mafanikio ya mtu kwa umbali anayokwea, mbali kwa umbali anayoduta anapogonga chini.
(s)
I don't measure a man's success by how high he climbs but how high he bounces when he hits bottom.
Mafanikio hudhaniwa tamu sana na wale ambao hawajawai fanikiwa.
(s)
Success is counted sweetest / By those who ne'er succeed.
Ukubwa wa mafanikio yako unapimwa kwa nguvu ya utashi wako; ukubwa wa ndoto yako, na jinsi unavyo kushughulikia shida zinazokukumba safarini.
(s)
The size of your success is measured by the strength of your desire; the size of your dream; and how you handle disappointment along the way.
Mtu aliyefanikiwa ni yule anayejenga msingi kutumia matofali alizorushiwa na watu wengine.
(s)
A successful man is one who can lay a firm foundation with the bricks others have thrown at him.
0 Comments
Top