Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
What is your favorite hobby?
6 words
Word Image
What is your favorite hobby?
6 words
kupika
(v)
cook
Mpishi alipika kwenye jikoni.
The chef cooked in the kitchen.
kutumia mtandao
(p)
surf the internet
Mwanamume hutumia mtandao kwenye tarakilishi.
The man surfs the internet on the computer.
safiri
(v)
travel
Baada ya kuhitimu, nitasafiri duniani kwa mwaka moja.
After I graduate, I will travel the world for one year.
kucheza kifaa cha mziki
(p)
play a musical instrument
Waweza cheza kifaa cha mziki?
Can you play a musical instrument?
imba
(v)
sing
Mwimbaji huimba katika karaoke.
The singer sings at karaoke.
ogelea
(v)
swim
ogelea kwenye bwawa
swim in a pool
0 Comments
Top