Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Top 15 Questions You Should Know For Conversations
15 words
Word Image
Top 15 Questions You Should Know For Conversations
15 words
U hali gani?
(e)
How are you?
Jina lako ni nani?
(e)
What's your name?
Jina langu ni Petero. Jina lako ni nani?
My name is Peter. What's your name?
Nambari yako ya simu ni?
(e)
What's your phone number?
Ningelipenda kukupigia simu. Nambari yako ya simu ni?
I would like to call you. What's your phone number?
Unamiaka ngapi?
(e)
How old are you?
Nilazima uwe na miaka 21(ishirini na moja) iliuingie hapa. Unamiaka mingapi?
You must be 21 to enter here. How old are you?
Ulizaliwa wapi?
(e)
Where are you from?
Waongea kama mwingereza. Unatoka wapi?
You sound British. Where are you from?
Unaishi wapi?
(e)
Where do you live?
Hili ni nini?
(e)
What's this?
Ulisema nini?
(e)
What did you say?
Unafanyakazi wapi?
(e)
Where do you work?
Bafu liko wapi?
(e)
Where is the bathroom?
Siku yako ya kuzaliwa ni lini?
(e)
When is your birthday?
Ulijifunza wapi Kiswahili?
(s)
Where did you learn Swahili?
Umekuwa ukijifunza Kiswahili kwa muda gani?
(s)
How long have you been studying Swahili?
Umeshawahi kuwa Kenya?
(s)
Have you been to Kenya?
Je, unapenda chakula cha Kenya?
(s)
Do you like Kenyan food?
0 Comments
Top