Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Top Ways to Practice Your Swahili Reading Skills
11 words
Word Image
Top Ways to Practice Your Swahili Reading Skills
11 words
Kusoma vitabu.
(s)
Read books.
Tumia wakati ukigonja ama ukisafiri na magari ya umma.
(s)
Use the time while on public transport or waiting.
Chukua vitabu and maandishi kulingana na kiwango chako.
(s)
Pick books and texts suitable for your level.
Jifunze kusoma haraka sana.
(s)
Learn to read as fast as possible.
Soma polepole ukifikiria maana ya maandishi unayosoma.
(s)
Slow down your reading and try to think about the text and its meaning.
Soma tena vitabu ulifurahia kusoma.
(s)
Read the book you enjoyed most again.
Kuwa na kamusi yako karibu kuboresha misamiati yako.
(s)
Have your dictionary ready to help improve your vocabulary.
Fanya mazoezi ya kusoma kila siku.
(s)
Practice reading each day regularly.
Tengeneza nafasi mzuri ya kusoma kwa kuwa na kiti mzuri, mwangaza wa kutosha, na kadhalika.
(s)
Prepare the best possible conditions for reading with a good chair, enough light, and so on.
Uliza maswali kutathmini tabia zako za kusoma.
(s)
Ask questions and evaluate your reading habits.
Fupisha yale umesoma baada ya kusoma maandishi.
(s)
Summarize what you read after you finish reading a text.
0 Comments
Top