Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Traveling
21 words
Word Image
Traveling
21 words
mkalimani
(n)
interpreter
Tunahitaji mkalimani.
We need an interpreter.
ripoti
(n)
information
Mimi hukusanya ripoti kutoka kwa mtandao.
I gather information from the Internet.
mielekeo
(n)
directions
uliza mielekeo
ask for directions
kivutio cha watalii
(p)
tourist attraction
kiongozi
(n)
guide
kiongozi wa safari
tour guide
ramani
(n)
map
kitabu mwongozo na ramani
guidebook with a map
kupanga
(v)
arrange
panga kulala
arrange for lodging
sanduku
(n)
suitcase
panga sanduku
pack a suitcase
mtalii
(n)
tourist
watalii kwenye likizo
tourist on vacation
mwongozo
(n)
guidebook
soma mwongozo wako
read your guidebook
basi ya watalii
(n)
tour bus
kutalii
(v)
tour
utalii wa kukwea
hiking tour
ajenti wa usafiri
(p)
travel agency
ajenti wa usafiri katika kampuni ya usafiri
travel agent at a travel agency
lango la kutoka
(p)
exit
lango la kutoka la dharura
emergency exit
kiingilio
(n)
entrance
Msichana anasongea kiingilio.
The girl is moving toward the entrance.
kwenda kuzuru
(v)
go sightseeing
pata wakati wa kuzuru
take time to go sightseeing
ambatana
(v)
accompany
ambatana na mimi
accompany me
agenda
(n)
agenda
fuata ajenda yako kwa makini
follow your agenda closely
safiri
(v)
travel
Baada ya kuhitimu, nitasafiri duniani kwa mwaka moja.
After I graduate, I will travel the world for one year.
ratiba ya ndege
(p)
itinerary
Hii ndiyo ratiba ya leo.
This is today's itinerary.
usafiri
(n)
travel
ajenti wa usafiri katika kampuni ya usafiri
travel agent at a travel agency
0 Comments
Top