Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Vegetables
21 words
Word Image
Vegetables
21 words
kitunguu saumu
(n)
garlic
kibumba cha kitunguu saumu na karafuu
garlic bulb and cloves
pilipili
(n)
chili pepper
pilipili kali
spicy chili pepper
mahindi
(n)
corn
Mboga ninalopenda zaidi ni mahindi kwenye hindi.
My favorite vegetable is corn on the cob.
viazi
(n)
potato
Viazi ni asili muhimu ya chakula cha nguvu kwa watu wengi.
Potatoes are an important source of food energy for many.
ragwesoya
(n)
soybean
Maharagwesoya humea ndani ya matumba.
Soybeans grow inside the pods.
mboga
(n)
vegetable
Mboga ni asili tajiri ya vitamini na madini.
Vegetables are a rich source of vitamins and minerals.
viazi vitamu
(n)
sweet potato
kiazi kitamu nzima na kiazi kitamu kilichokatwa
whole sweet potato and cut sweet potato
karoti
(n)
carrot
Karoti kawaida ni rangi chungwa.
Carrots are usually orange in color.
tanipu
(n)
turnip
majani ya mboga ya tanipu
turnip greens
kitunguu
(n)
onion
Kuna aina nne ya vitunguu: njano na hadharani, nyeupe, nyekundu na tamu.
There are four basic types of onions: yellow and brown, white, red, and sweet.
uyoga
(n)
mushroom
uyoga mbili
two mushrooms
saladi
(n)
lettuce
Kichwa cha kabichi.
head of lettuce
tango
(n)
cucumber
Tango zina vitamini C.
Cucumbers contain vitamin C.
pilipili hoho
(n)
bell pepper
pilipili hoho nyekundu, kijani,na njano
red, green and yellow bell peppers
sasa
(n)
spinach
matawi ya sasa
spinach leaves
brokoli
(n)
broccoli
Brokoli ni tajiri kwa vitamini C, K na A.
Broccoli is rich in vitamins C, K and A.
mbiringani
(n)
eggplant
mbiringani iliyokarangwa
fried eggplant
dania
(n)
celery
kibumba cha dania
celery bunch
kaliflawa
(n)
cauliflower
Kaliflawa kwenye bakuli
cauliflower in a bowl
kabeji
(n)
cabbage
Nilikula kabeji jana usiku.
I ate a cabbage last night.
ragwe iliomea
(n)
bean sprout
ragwe mbichi iliomea
raw bean sprouts
0 Comments
Top