Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
What Is Your Language Learning Goal for the Month?
10 words
Word Image
What Is Your Language Learning Goal for the Month?
10 words
Nitamaliza misemo ya kujimudu ya Swahilipod101.com kwa kusikiza somo mbili kwa siku.
(s)
I'll finish Survival Phrases series on SwahiliPod101.com by listening to two lesson a day.
Nitamaliza kusoma kitabu cha Kiswahili kwa kusoma ukurasa kumi kila siku.
(s)
I'll finish reading one Swahili book by reading 10 pages a day.
Nitapita mtihani wangu wa Kiswahili.
(s)
I'll pass my Swahili test.
Nitaelewa kwa ukamili sinema moja ya Kiswahili kwa kuutazama kila siku.
(s)
I'll fully understand one Swahili movie by watching it every day.
Nitatoa hotuba ya dibaji yangu kwa dakika tatu kwa marafiki zangu wa Kenya.
(s)
I'll give a 3 minute introductory speech in Swahili to my Kenyan friends.
Nitakaliri nyimbo tano za Kiswahili.
(s)
I'll memorize 5 Swahili songs.
Nitamaliza kukaliri maneno 350 kutumia kadi za maneno katika Swahilipod101.com.
(s)
I'll finish memorizing 350 words with Flashcards on SwahiliPod101.com.
Nitaandika kadi kumi ya posta kwa Kiswahili kwa marafiki zangu Kenya.
(s)
I'll write 10 postcards in Swahili to my Kenyan friends.
Nitajifunza jinsi ya kuongea kuhusu yaliyopita, yanayofanyika na yatakayofanyika.
(s)
I'll learn how to talk about past, present and future events.
Nitafahamu maneno 150 kwa kukariri maneno 5 kila siku.
(s)
I'll master 150 words by memorizing 5 words a day.
0 Comments
Top