Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
What's Your Number One Reason for Learning a Language?
15 words
Word Image
What's Your Number One Reason for Learning a Language?
15 words
Ni lugha nzuri.
(s)
It's a beautiful language!
Familia yangu inatoka sehemu inapoongelewa hiyo lugha.
(s)
My family comes from a place where the language is spoken.
Napenda tamaduni na watu wanaoongea lugha hiyo.
(s)
I love the culture and the people who speak the language.
Napenda kujifunza lugha tofauti.
(s)
I just love learning languages!
Lugha hiyo ni ya manufaa kwa kazi yangu.
(s)
The language is useful for my job.
Naishi katika nchi inanyoongea lugha hiyo.
(s)
I live in a country that speaks the language.
Natakakufungua fikira zangu ili niwe mtu wa mataifa.
(s)
I want to open my mind and become more international.
Ningelipenda kufahamu nyimbo, sinema na vipindi vya televisheni ninazopenda.
(s)
I want to understand my favorite songs, movies and TV shows.
Napenda kusafiri.
(s)
I love traveling!
Ni sehemu muhimu ya dini yangu.
(s)
It's an important part of my religion.
Ni sehemu ya masomo yangu katika chuo kikuu.
(s)
It's part of my university studies.
Ni kozi yangu.
(s)
It's my hobby.
Naishi katika nchi jirani ya nchi inayoongea lugha hiyo.
(s)
I live next to a country speaking that language.
Najifunza lugha hiyo ili kumfurahisha mtu.
(s)
I am learning the language to impress someone.
Ningelipenda kuongea na familia ya mchumba wangu kwa lugha yao.
(s)
I want to speak to my partner's family in their language.
0 Comments
Top