Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Words and Phrases for Living on a School Campus
24 words
Word Image
Words and Phrases for Living on a School Campus
24 words
mti
(n)
tree
mti wa fyulisi na mafyulisi
peach tree with peaches
nyasi
(n)
grass
Mbweha wanacheza katika nyasi.
The foxes are playing in the grass.
maktaba
(n)
library
Nasoma katika maktaba.
I am studying at the library.
bweni
(n)
dormitory
chumba katika bweni
dormitory room
kikahawa
(n)
cafeteria
ukumbi wa mazoezi
(p)
gymnasium
chuo kikuu
(p)
campus
uwanja
(n)
track
duka la vitabu
(p)
bookstore
njia
(n)
pathway
jengo la utawala
(p)
administrative building
jengo la ushirika wa wanafunzi
(p)
student union building
ukumbi wa mhadhara
(p)
lecture hall
jengo la madarasa
(p)
classroom building
Wakala wa ajira
(n)
employment agency
mtu wa kuishi pamoja
(n)
roommate
kazi ya muda
(p)
part-time job
basi ndogo
(n)
shuttle bus
Niko msoto
(s)
I'm broke.
Kituo cha burudani
(n)
recreation center
Je! Ninaweza pata muda zaidi wa tarehe ya mwisho?
(s)
Could I get an extension on the deadline?
Jana usiku nilimaliza zoezi ambalo siku ya mwisho ni leo.
(s)
Last night I finished an assignment that was due today.
Siku ya kwanza ya darasa haisaidii.
(s)
The first day of class is always useless.
Lazima niwe tayari kwa mitihani!
(s)
I must be prepared for the exams!
0 Comments
Top