Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Words and Phrases to Help You in an Emergency
19 words
Word Image
Words and Phrases to Help You in an Emergency
19 words
kuumwa kwa kichwa
(p)
headache
Naumwa na kichwa.
I have a headache.
bima
(n)
insurance
bima la matibabu
medical insurance
kituo cha polisi
(p)
police station
Magari ya polisi yameegeshwa nje ya kituo cha polisi.
The police cars are parked outside the police station.
hospitali
(n)
hospital
jengo la hospitali
hospital building
dawa
(n)
medication
Mimi nilipoteza pasipoti yangu.
(s)
I lost my passport.
Nadhani nilikula kitu mbaya.
(s)
I think I ate something bad.
Je, una homa?
(s)
Do you have a fever?
upungufu wa maji mwilini
(n)
dehydration
Nahitaji daktari.
(s)
I need a doctor.
Kifundo cha mguu ambacho kiteguka.
(p)
sprained ankle
Unaweza kunisaidia?
(s)
Can you help me?
Maelezo ya dawa
(n)
prescription
Siwezi kupata njia ya kurudi kwa hoteli yangu.
(s)
I can't find the way back to my hotel.
Gari la wagonjwa.
(n)
ambulance
Je, kuna duka la dawa karibu?
(s)
Is there a pharmacy nearby?
mshtuko wa moyo
(n)
heart attack
Mshtuko wa joto
(n)
heatstroke
Ita polisi, tafadhali.
(s)
Call the police, please.
0 Comments
Top