Dialogue - Swahili
Hide|  | Mbuga La Wanyama La Aberdare. | ||
|  | Mlima wa aberdare uko katika nambari ya tatu kati ya milima ambayo ni mikubwa sana nchini kenya na unapatikana katika Kenya ya kati. | ||
|  | Mlima huu una vilele viwili ambavyo urefu wake ni mita 4300 juu ya usawa wa bahari . | ||
|  | Vilele hivi hufanya mabonde yenye umbo inayofanana na herufi “V” na kuna mito ambayo inapitia juu ya mabonde haya. | ||
|  | Hii hufanya mlima huu uwe mahali bora kwa wapenzi wa mazingira. | ||
|  | Kwenye eneo la juu ya mlima huu ni mbuga maarufu la Aberdare ambalo ni miongoni mwa maeneo makubwa ya kivutio cha utalii nchini. | ||
|  | Hifadhi hii imechukua eneo kubwa ya mlima huu ikichukua takribani 767 mita kupiga mraba kati ya hekta 103,300 kwa ujumla. | ||
|  | Makundi ya tembo na nyati ni miongoni mwa wanyama wengi ambao utapata katika harakati zao wakipita kwa kimya ndani ya msitu huu. | ||
|  | Wanyama ambao hupatikana kwa urahisi katika mbuga hili ni pamoja na vifaru weusi, chui, nyani weusi na weupe, kima punju na tumbili wa aina ya ‘syke’. | ||
|  | Upande wa juu wa msitu ni ukanda wa msitu wa mianzi ambao unakupa fursa ya kuona bongo, aina nadra ya swala anayeishi katika misitu ya mianzi. | ||
|  | Msitu huu pia una zaidi ya aina mia mbili hamsini za ndege na utapata nafasi nzuri ya kuwatazama. | ||
|  | Kuna makumpuni ya utalii ambayo yatakutembeza ndani ya mbuga hili kwa magari yao yakifahari ama pia unaweza zunguka kwa miguu. | ||
|  | Kama mnazuru mbuga hili katika kikundi,mnaweza chukua nafasi hii kupiga kambi katika maeneo mazuri ya kambi na kukaa hapa kwa muda mtakaopendelea. | ||
|  | Shughuli nyingine ambazo unaweza kushiriki ni pamoja na kukwea mlima au uvuvi katika mito inayopatikana katika eneo ya mlima huu. | ||
|  | Mlima huu pia una vyumba kadhaa vya malazi ambamo wanaouzuru wanaweza pata mahali pazuri pa kupumzika. | ||
|  | The Aberdare National Park | ||
|  | The Aberdare Ranges is the third highest mountain in Kenya and are situated in central Kenya. | ||
|  | The mountain has two peaks which soar to about 4300 meters above sea level. | ||
|  | These peaks give way to deep V-shaped valleys with streams intersecting. | ||
|  | This makes the mountain an ideal place for landscape lovers. | ||
|  | On the higher area of this mountain lies the famous Aberdare National Park which is among the major tourist attractions in the country. | ||
|  | This park covers the better area of the mountain occupying roughly 767 square meters of the total 103,300 hectares. | ||
|  | Herds of forest elephants and buffaloes are among the many animals that pass silently through the thick undergrowth of the forest. | ||
|  | Animals that can be observed quite easily in the park include the black rhino, leopards, baboons, black and white colobus monkeys, and the syke monkey. | ||
|  | On the higher side of the forest is a belt of bamboo forest which gives you an opportunity to see the bongo, a rare species of antelope that lives in the bamboo forest. | ||
|  | Bird viewing is rewarding, with around 250 bird species. | ||
|  | To explore the park there are many companies on the ground which offer safari jeeps to take you around or you can go on foot if you like. | ||
|  | If you are visiting the park as a group, you can take advantage of the beautiful camping sites and stay in the mountain for two or three days. | ||
|  | Other activities that you can engage in include hiking or fishing in the rivers found on the mountain. | ||
|  | The mountain has several lodges with suitable facilities if you are wondering where to spend the night when visiting this park. | ||
Main
|  | Mbuga La Wanyama La Aberdare. | ||

English

Comments
Hide