Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Common Actions
25 words
Word Image
Common Actions
25 words
kutenda
(v)
do
Mwanamke hufanya kazi ya nyumba.
The woman does housework.
kwenda
(v)
go
enda mbele na wima
go straight ahead
kula
(v)
eat
kula mezani
eat at a table
kuongea
(v)
speak
Msemaji aliongea katika mkutano.
The speaker spoke at the conference.
njoo
(v)
come
Msichana huyu alisongea kamera ya vidio.
The girl came towards the video camera.
kutaka
(v)
want
Wafanyikazi wa ofisi walitaka ndazi hili.
The office workers wanted the doughnut.
kusoma
(v)
read
Mama alimsomea bintiye.
The mother read to her daughter.
kusimama
(v)
stand
Wakili alisimama kwenye stesheni ya basi.
The lawyer stood at the bus stop.
kutazama
(v)
watch
tazama kuchwa kwa jua
see a sunset
kusema
(v)
say
Watu wanasema "hujambo."
The people say, "Hello."
piga simu
(v)
call
Mama alimpigiaใ€€bintiyeใ€€simu.
The mother called her daughter.
kukutana
(v)
see
Nitamwona daktari.
I'll go see a doctor.
kuingia
(v)
enter
ingia katika jengo
enter a building
kuogopa
(v)
fear
Majini huogopa jua.
Vampires fear the sun.
kuhisi
(v)
feel
Mvulana anahisihuzuni.
The boy is feeling sad.
kuamini
(v)
believe
Siwezi kuamini hadithi hiyo.
I can't believe that story.
weza
(v)
can
kuweza kuruka
can jump over
fanana
(v)
resemble
kufanana
resemble one another
heshimu
(v)
respect
Mvulana humweshimu babuye.
The boy respects his grandfather.
kushukuru
(v)
thank
shukuru mtu
thank someone
kuwa
(v)
be
Ni paka.
It's a cat.
kupenda
(v)
love
Mwanamume alimpenda mwanamke.
The man loved the woman.
kuhitaji
(v)
need
Nahitaji usaidizi.
I need help.
kuona
(v)
see
Nitatazama tamthilia Jumapili.
I'll see a play on Sunday.
kukosea
(v)
miss
kosea lengo
miss the target
0 Comments
Top