Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Months of the Year
12 words
Word Image
Months of the Year
12 words
Mei
(n)
May
maua ya Mei
May flowers
Septemba
(n)
September
Katika mwezi wa Septemba msimu wa pukutisha huanza katika sehemu ya kaskazini mwa dunia na msimu wa chipukizi katika sehemu ya Kusini
In September, fall begins in the northern hemisphere and spring in the southern hemisphere.
Oktoba
(n)
October
Halloween huwa katika mwezi wa Oktoba 31 (thelani na moja).
Halloween falls on October 31st.
Novemba
(n)
November
Siku ya kushukuru, Alhamisi Novemba 24 (ishirini na nne)
Thanksgiving, Thursday November 24th
Machi
(n)
March
Machi ndipo mnapoanza msimu wa chipukizi katika sehemu ya Kaskazini mwa dunia na msimu wa pukutisha katika sehemu ya Kusini
March marks the start of Spring in the northen hemisphere and fall in the southern hemisphere.
Juni
(n)
June
Tutaoana katika mwezi wa Juni.
We are getting married in June.
Julai
(n)
July
mwezi wa Julai
month of July
Januari
(n)
January
Jumanne, Januari 1 (moja).
Tuesday, January 1st
Februari
(n)
February
Siku ya mwaka wa chachawa ni Februari 29 (ishirini na tisa).
Leap year day is February 29th.
Disemba
(n)
December
Ijumaa, Desemba 8 (nane)
Friday, December 8th
Agosti
(n)
August
Shule hufungwa katika mwezi wa Agosti.
The school is closed in August.
Aprili
(n)
April
Mvua wa Aprili huleta maua ya mwezi wa Mei.
April showers bring May flowers.
0 Comments
Top