Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook

Swahili Core 100 Word List

101 Words
water
maji (n)
water
Mwanamume anakunywa kwa chupa cha maji.
The man is drinking from the water bottle.
Hide 1 More ExampleHide 2 More Examples
beef
nyama ya ng'ombe (n)
beef
mnofu wa nyama
beef steak
Hide 2 More ExamplesHide 3 More Examples
pork
nyama ya nguruwe (n)
pork
Nyama ya nguruwe ni nyama inayopatikana kutoka kwa nguruwe.
Pork is the meat from a pig.
Hide 2 More ExamplesHide 3 More Examples
chicken
nyama ya kuku (n)
chicken
supu ya kuku
chicken soup
Hide 7 More ExamplesHide 8 More Examples
lamb
nyama ya mbuzi (n)
lamb
Nyama ya mbuzi ni tamu sana.
Lamb is extremely delicious.
Hide 1 More ExampleHide 2 More Examples
fish
samaki (n)
fish
foot
mguu (n)
foot
mguu wa kushoto.
left foot
Hide 2 More ExamplesHide 3 More Examples
leg
mguu (n)
leg
miguu mirefu.
long legs
Hide 1 More ExampleHide 2 More Examples
head
kichwa (n)
head
Vaa mrembe kulinda kichwa chako.
Wear a helmet to protect your head.
Hide 0 More ExamplesHide 1 More Example
arm
mkono (n)
arm
hand
kiganja cha mkono
hand
Mtoto anainua mkono wake.
The child is raising his hand.
Hide 2 More ExamplesHide 3 More Examples
finger
kidole (n)
finger
Kidole changu kinatokwa na damu.
My finger's bleeding.
Hide 2 More ExamplesHide 3 More Examples
body
mwili (n)
body
Mwili wa binadamu.
human body
Hide 2 More ExamplesHide 3 More Examples
stomach
tumbo (n)
stomach
Tumbo linaniuma.
I have a stomach ache.
Hide 2 More ExamplesHide 3 More Examples
back
mgongo (n)
back
Mgongo wangu unauchungu.
My back hurts.
Hide 2 More ExamplesHide 3 More Examples
chest
kifua (n)
chest
Kifua kinaniuma.
I have chest pain.
Hide 0 More ExamplesHide 1 More Example
nurse
muuguzi (n)
nurse
muuguzi wa kike
female nurse
Hide 3 More ExamplesHide 4 More Examples
employee
mfanyikazi (n)
employee
mfanyikazi mwanamke
female employee
Hide 1 More ExampleHide 2 More Examples
police officer
afisa wa polisi (n)
police officer
afisa wa polisi kwa nguo rasmi
police officer in uniform
Hide 3 More ExamplesHide 4 More Examples
cook
mpishi (n)
cook
Yeye ni mpishi katika mgahawa wa daraja la nne.
She is a cook at a four-star restaurant.
Hide 2 More ExamplesHide 3 More Examples
engineer
mhandisi (n)
engineer
Mimi ni mhandisi.
I am an engineer.
Hide 2 More ExamplesHide 3 More Examples
doctor
daktari (n)
doctor
Daktari anachunguza mguu.
The doctor is examining the foot.
Hide 4 More ExamplesHide 5 More Examples
manager
meneja (n)
manager
Meneja wa idara anapeana maagizo.
The factory manager is giving instructions.
Hide 1 More ExampleHide 2 More Examples
teacher
mwalimu (n)
teacher
mwalimu darasani
teacher in a classroom
Hide 2 More ExamplesHide 3 More Examples
programmer
programa (n)
programmer
Mimi ni programa.
I am a programmer.
Hide 1 More ExampleHide 2 More Examples